🛍️
Marketplace



⚙️
Admin Panel

#Hashtag
+
Hadithi Yako
Share Your Moment and Business Today
Popular Products
Popular Songs
✍ Unda Chapisho Jipya
✕
--
--
Inapakia...
0%
Katika ziara hiyo, Balozi Dkt. Nchimbi amepongeza hatua iliyofikiwa na kueleza kuwa ujenzi huo ni ishara tosha ya utekelezaji wa maono ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuifanya nchi kuwa kitovu cha michezo barani Afrika, huku akimshukuru Mkuu huyo wa Nchi kwa kuendelea kutoa rasilimali fedha bila kukwama ili miradi ikamilike kwa wakati.
Pia, Makamu wa Rais ametoa pongezi kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, uongozi wa Mkoa wa Arusha,
wakandarasi, na washauri elekezi kwa usimamizi madhubuti. Hata hivyo, amesisitiza kuwa Wizara na Mkoa wanapaswa kuhakikisha miundombinu ya barabara za kufika uwanjani hapo inakamilika kwa wakati muafaka kama ilivyoelekezwa na Rais Dkt. Samia, ili kuepusha usumbufu wakati wa mashindano.
Awali, akitoa taarifa kwa Makamu wa Rais, Mkuu wa Mkoa wa Arusha,
Amos Makala, amebainisha kuwa mradi huo umefikia asilimia 88 na unatarajiwa kukamilika rasmi mwishoni mwa mwezi Agosti 2026. Uwanja huo wa kisasa unatazamiwa kuwa alama ya kipekee ya kitalii na ya kitaifa, ukiwa uimechorwa kwa muundo unaoakisi Mlima Kilimanjaro, madini ya Tanzanite, pamoja na rangi za bendera ya Taifa.
Tangaza Biashara Yako
NAFASI IPO WAZI
TANGAZA BIASHARA YAKO
Kwenye Tikishort • Watu 100K+ Kila Siku
📢
Wafikie Wateja Wengi
Haraka Zaidi!
Haraka Zaidi!
Bonyeza kutuchat WhatsApp
Tangaza kwenye Tikishort
BIASHARA YAKO IONEKANE KWA WOTE
Watu zaidi ya 100,000 wanatumia Tikishort kila siku Tanzania.
Jaza fomu - Tutakujibu haraka WhatsApp
✅ Inaelekeza WhatsApp...
